Malkia Faey – Meru
Director Trevor amesema kuwa anajutia kuweka uhusiano wake na mwanadada Eve Mungai kwenye mitandao ya kijamii na hadharani kwa ujumla
Ameyasema hayo katika mahojiano na Oga Obinna akiongeza kuwa watu walimhukumu bila kuzingatia pande zote mbili
Nikimnukuu Trevor alisema “Kwa muda fulani nilikuwa nafeel hivyo but in life you can’t choose what comes with it. But kuna time nilikuwa nawish singetokea social media. Kwanza hiyo time Andrew Kibe alikuwa ananinyorosha“
Amesema kwamba alikosolewa Kwa masala mbalimbali bila kujieleza iwapo ni kweli au La.
Trevor walitengana na mwanadada Eve Mungai mnamo Februari mwaka huu.